![](http://moe.eganet.go.tz/sites/default/files/styles/max660/public/2023/08/10/wizara_elimutanzania-20230810-0001.jpg?itok=gdtHqiWZ)
Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela Afrika kupitia Elimu ya Juu ya Mabadiliko ya Uchumi ( Mradi wa HEET ) uliofadhiliwa na Benki ya Dunia umezindua Kamati ya Ushauri ya Viwanda mnamo tarehe 28 Julai, 2023 ikikusudia kuangalia mambo kadhaa ambayo yatakuza uchumi.